Mkuu wa Mkoa Mstaafu Mh. Dr. Joel Nkaya Bendera akimpokea na kumkaribisha Mkuu Mpya wa Mkoa wa Manyara Mh. Alexander Pastory Mnyeti aliporipoti kwa mara ya kwanza katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Manyara.
Jumanne, 7 Novemba 2017
Ujenzi wa Mradi wa Hospitali ya
Rufaa ya Mkoa wa Manyara ikiwa kwenye hatua ya upauji, Mafundi wakiendelea na
shughuli zao kama kawaida kuhakikisha mradi unakamilika ndani ya muda na kwa
kiwango kinachotakiwa chini ya Usimamizi wa Mkandarasi wa Majengo Ndugu.
Domician Kirina (tarehe 7 Novemba, 2017).







