Jumanne, 12 Septemba 2017


Afisa Elimu Mkoa wa Manyara Bwana Anord Msuya katika kikao cha Maafisa Elimu Sekondari akisisitiza Kuhusu usimamizi wa katika utoaji wa Elimu, kuweka mpango mkakati wa Michezo, maandalizi ya kuwapokea wanafunzi wa kidato cha kwanza mwaka 2018 na maandalizi ya mitihani ya Kitaifa katika mazingira ya ufanyikaji.Hakuna maoni:

Chapisha Maoni