Jumamosi, 1 Desemba 2018

NJOONI MJIFUNZE MANYARA-MNYETI

Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mh.Alexander Mnyeti amewataka viongozi kutoka mikoa mbalimbali kuja Manyara na kuona jinsi Mkoa wa Manyara unavyopiga hatua katika shughuli mbalimbali za kimaendeleo.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni