Jumanne, 11 Desemba 2018

SIKU YA UKIMWI DUNIANI MKOANI MANYARA

Mkuu wa Wilaya ya Babati Mh.Elizabeth Kitundu ambaye alikuwa Mgeni Rasmi katika siku ya Ukimwi Duniani iliyofanyika kimkoa katika viwanja vya Kwaraa Halmashauri ya Mji Babati  Mkoani Mnayara Tarehe 1/12/2018 akisalimiana na wadau wa sekta ya Afya.

Mtoa huduma akitoa huduma kwa Mwananchi aliyehudhuria katika Viwanja vya Kwaraa katika siku ya Ukimwi Dunia tarehe 1/12/2018.

Baadhi ya Wananchi waliohudhuria kupata huduma za Afya  katika kilele cha siku ya Ukimwi Duniani,maadhimisho hayo yalifanyika kimkoa katika Viwanja vya Kwaraa Halmashauri ya Mji wa Babati tarehe 1/12/2018

Mwakilishi wa  Benjamin Mkapa Foundation Mkoa wa Manyara  Dkt.Daudi Mkopi akitoa taarifa juu ya Ugonjwa wa Ukimwi katika Mkoa wa Manyara katika maadhimisho ya siku ya Ukimwi Duniani yaliyofanyika katika viwanja vya Kwaraa tarehe 1/12/2018.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni