Jumamosi, 1 Desemba 2018

Kikao Cha Bodi ya Barabara Mkoa wa Manyara

Mjumbe akichangia mada katika kikao cha Bodi ya Barabara Mkoa wa Manyara kilichofanyika 30 Novemba,2018

Mwenyekiti wa Halmshauri ya Mbulu akichangia mada katika kikao cha Bodi ya Barabara Mkoa wa Manyara kilichofanyika 30 Novemba,2018

Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji Babati Bw. Kibiki Mohamed na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mbulu Mji wakiwa katika kikao cha Bodi ya Barabara Mkoa wa Manyara kilichofanyika 30 Novemba,2018

Baadhi ya Wakurugenzi wa Halmashauri za Mkoa wa Manyara wakiwa  katika kikao cha Bodi ya Barabara Mkoa wa Manyara kilichofanyika 30 Novemba,2018

Kaimu Katibu Tawala wa Wilaya ya Babati akiwa katika kikao cha Bodi ya Barabara Mkoa wa Manyara kilichofanyika 30 Novemba,2018

Baadhi ya wajumbe waliohudhuria kikao cha Bodi ya Barabara Mkoa wa Manyara kilichofanyika 30 Novemba,2018

Mjumbe akichangia mada katika kikao cha Bodi ya Barabara Mkoa wa Manyara kilichofanyika 30 Novemba,2018

Mbunge wa Viti Maalum CCM Mh. Ester Mahawe (kushoto)  akiwa na Mkuu wa Wilaya ya Babati Mh.Elizabeth Kitundu (kulia) katika  kikao cha Bodi ya Barabara Mkoa wa Manyara kilichofanyika 30 Novemba,2018

Baadhi ya wajumbe waliohudhuria kikao cha Bodi ya Barabara Mkoa wa Manyara kilichofanyika 30 Novemba,2018

Mkurugenzi wa Halmshauri ya Wilaya ya  Simanjiro akichangia mada katika kikao cha Bodi ya Barabara Mkoa wa Manyara kilichofanyika 30 Novemba,2018

Mbunge wa Viti Maalu CCM Mh. Marther Umbullah (kushoto)  akiwa na Mbunge wa Babati Mjini  Mh.Pauline Gekul (kulia) katika  kikao cha Bodi ya Barabara Mkoa wa Manyara kilichofanyika 30 Novemba,2018

Meneja wa Tanroads Mkoa wa Manyara Mhandisi Bashiri Rwesingisa akichangia mada katika kikao cha Bodi ya Barabara Mkoa wa Manyara kilichofanyika 30 Novemba,2018

Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mh.Alexander Mnyeti akiongoza kikao cha Bodi ya Barabara Mkoakilichofanyika 30 Novemba,2018

Mkurugenzi wa Halmshauri ya Wilaya ya Babati akichangia mada katika kikao cha Bodi ya Barabara Mkoa wa Manyara kilichofanyika 30 Novemba,2018

Mbunge wa Babati Mjini  Mh.Pauline Gekul (kushoto) akichangia mada  katika  kikao cha Bodi ya Barabara Mkoa wa Manyara kilichofanyika 30 Novemba,2018

Mkurugenzi wa Halmshauri ya Mji wa  Babati akichangia mada katika kikao cha Bodi ya Barabara Mkoa wa Manyara kilichofanyika 30 Novemba,2018

Mwenyekiti wa Halmshauri ya Mji Babati akichangia mada katika kikao cha Bodi ya Barabara Mkoa wa Manyara kilichofanyika 30 Novemba,2018

Meneja wa TARURA Mkoa wa Manyara akichangia mada katika kikao cha Bodi ya Barabara Mkoa wa Manyara kilichofanyika 30 Novemba,2018

Mbunge wa Kiteto  Mh.Emanuel Papiani akichangia mada  katika  kikao cha Bodi ya Barabara Mkoa wa Manyara kilichofanyika 30 Novemba,2018

Mkurugenzi wa Halmshauri ya Wilaya ya  Mbulu akichangia mada katika kikao cha Bodi ya Barabara Mkoa wa Manyara kilichofanyika 30 Novemba,2018

Mkurugenzi wa Halmshauri ya Wilaya ya  Mbulu akichangia mada katika kikao cha Bodi ya Barabara Mkoa wa Manyara kilichofanyika 30 Novemba,2018

Mkurugenzi wa Halmshauri ya Wilaya ya  Kiteto akichangia mada katika kikao cha Bodi ya Barabara Mkoa wa Manyara kilichofanyika 30 Novemba,2018

Mkurugenzi wa Halmshauri ya Wilaya ya  Hanang akichangia mada katika kikao cha Bodi ya Barabara Mkoa wa Manyara kilichofanyika 30 Novemba,2018

Mbunge wa Viti Maalum CCM Mh. Ester Mahawe akichangia mada  katika  kikao cha Bodi ya Barabara Mkoa wa Manyara kilichofanyika 30 Novemba,2018

Mbunge wa Viti Maalum CCM Mh. Ester Mahawe akichangia mada  katika  kikao cha Bodi ya Barabara Mkoa wa Manyara kilichofanyika 30 Novemba,2018

Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mh.Alexander Mnyeti akiongoza kikao cha Bodi ya Barabara Mkoakilichofanyika 30 Novemba,2018

Katibu Tawala Mkoa wa Manyara Bwana Missaile Musa akitoa ufanunuzi juu ya baadhi ya mambo katika kikao cha Bodi ya Barabara Mkoakilichofanyika 30 Novemba,2018

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni