Alhamisi, 30 Machi 2017

ZIARA YA WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA MAJALIWA (Mb) MKOA WA MANYARA

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Majaliwa (Mb) akiwasili Mkoa wa Manyara na kupokelewa na Katibu Tawala Mkoa Eliakim C. Maswi katika ziara yake ya kikazi ndani ya Mkoa.

Ziara hiyo ilidumu kwa muda wa Siku tano ambapo alitembelea Wilaya zote za Mkoa wa Manyara ambazo ni Halmashauri za Simanjiro, Kiteto,  Mbulu, Hanang' na Babati.

Ona Ziara hiyo hapa

Maoni 1 :

Enock Mayage alisema ...

Hongera sana uongozi wa Mkoa kwa ugeni wa Waziri Mkuu

Chapisha Maoni