Ijumaa, 21 Julai 2017

CHANGAMOTO ZA AMCOS ZAWEKEWA MIKAKATI.
Katibu Tawala wa Mkoa wa Manyara Eliakim C. Maswi ameongoza kikao cha Chama Kikuu cha Ushirika cha Rift Valley Cooperation Union (RIVACU) na vyama vya msingi vya Ushirika Mkoa wa Manyara na  kujumuisha Vyama vya msingi vya Ushirika (AMCOS) vya Wilaya za Babati, Mbulu, Hanang, Simanjiro na  Kiteto kilichofanyika katika ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Manyara na kuwataka wanaushirika kujikita katika Maendeleo ili kujikwamua kiuchumi.Hakuna maoni:

Chapisha Maoni